RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MAJENGO YA SKULI ZA SEKONDARI TISA ZA UNGUJA NA PEMBA | ZamotoHabari.

 Muonekano wa Jengo la Skuli mpya ya Sekondari ya Rahaleo Wilaya ya Mjini Unguja iliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kwa niaba ya Skuli Tisa za Unguja na Pemba, ikiwax ni shamrashamra za Kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuzifungua Skuli Tisa za Sekondari Zanzibar zilizojengwa Unguja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma na (kulia kwa Rais)Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Rahaleo, kwa niaba ya Skuli hizo Mpya Tisa zilizojengwa Unguja na Pemba.(kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwalimu wa Somo la Sayansi wa Skuli ya Kiembesamaki.Ndg Issa Masoud akitowa maelezo, wakati Rais wakati akitembelea maabara ya Sayansi katika Skuli hiyo ya Sekondari, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Elimu Sekondari Bi.Asia Iddi Issa, wakati akitembelea darasa la Komputa katika Skuli hiyo baada ya kuifungua leo 5-1-2020, kwa niaba ya Skuli za Sekondari Tisa za Ungyuja na Pemba, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma.ikiwa ni shamrashamra za kuadshimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
(Picha na IKULU).


Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini