Mpendwa
Msomaji, tunakushauri kutumia APP yetu ili kusoma kwa urahisi ZAMOTOHABARI
APP. Sasa
ipo Playstore, ili ku-download BOFYA HAPA.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Dunstan Maboya amesema kanisa hilo litaendelea huduma zake za kitume ikiwamo kukanyaga mafuta ya upako huku wakizingatia tahadhari za kiusalama katika mikutano yote ambayo inaendelea nchini.APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments