Kiongozi wa Kanisa la International God’s Way la Ghana, Daniel Obinim ametangazia wafuasi wake kuwa anauza mafuta yanayoweza kuwakinga na Coronavirus. Obinim ambaye mtindo wake wa maisha ya anasa ni gumzo Ghana, anauza chupa moja ya mafuta hayo kwa Cedi 200 za Ghana (TZS 85,000).
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments