#Coronavirus vimeua Watu 492 Ulimwenguni hadi sasa ikiwa ni ongezeko la Watu 65 ndani ya takriban saa 24
Wengi waliofariki ni Raia wa #China huku Mji wa #Wuhan ukiongoza
Zaidi ya Watu 24,500 wameathirika katika Nchi 25
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments