Biden aahidi kumteua mwanamke kama makamu wake | ZamotoHabari.





Makamu wa rais wa zamani wa Marekani Joe Biden Jumapili usiku aliahidi kwamba iwapo atapata uteuzi wa chama cha Demokratik wa kuwania urais kwenye uchaguzi ujao wa mwezi Novemba, atamteua mwanamke kama mgombea mwenza.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini