BREAKING: Mgonjwa Mmoja wa Corona Tanzania Afariki Dunia | ZamotoHabari.


Waziri wa afya Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa Corona kilichotokea leo asubuhi katika kituo cha Mlonganzila.

Anakuwa mgonjwa wa kwanza nchini kutangazwa kufa kwa ugonjwa huu.

"Nasikitika kutangaza Kifo cha Kwanza cha Mgonjwa wa COVID-19 hapa nchini Kilichotokea alfajiri ya Leo katika Kituo cha Matibabu ya wagonjwa wa COVID-19 kilichopo Mloganzila DSM. Marehemu ni Mtanzania Mwanaume Miaka 49 Alikuwa akisumbuliwa na Maradhi Mengine"
Waziri Ummy Mwalimu





APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini