BREAKING News: Wagonjwa wa Corona Waongezeka, Dar es Salaam na Zanzibar | ZamotoHabari.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza wagonjwa wawili wa virusi vya corona Tanzania mmoja amekutwa Zanzibar.

“Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari yupo kwenye uangalizi, na hapa DSM tuna Mmarekani mwenye miaka 61 amebainika kuwa na corona pia” - Waziri Mkuu Majaliwa




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini