"Sitokuwa wa kwanza kulia kwenye mapenzi. Nakukumbuka shamsa nashindwa kujizuia.vyote ulivyokuwa unanikataza kwa faida yangu mwenyewe ndo sasa hivi naviona.Popote ulipo naomba ujue nakukumbuka sana mama ðŸ˜.Sina mtu wa kunipa moyo ,sina rafiki kama ww,ww ndo msiri wangu. Nakukumbuka mama ðŸ˜.Familia ni kila kitu dah🙌ðŸ˜" Chidd Mapenzi
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments