Eti Pombe Inazuia Maambukizi ya Virusi vya Corona? Soma Hapa Mtu Wangu Ujue Ukweli | ZamotoHabari.



Kumekuwa na tetesi kwamba eti mtu akinywa pombe  hataweza kuambukizwa virusi hatari vya Corona.

Uvumi huo si kweli na Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi na kuwataka Watanzania wazingatie miongozo mbalimbali ya namna ya kujikinga na virusi hivyo inayotolewa na serikali.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini