Jux na Huddah Penzi ni Kikohozi...Waanza Kuonesha Mahaba Wazi Bila Kificho, Kukutana Tena Zanzibar | ZamotoHabari.


Mrembo wa Kenya Huddah na Jux waanza kuonesha Mahaba yao tena...Siku si nyingi ilisemekana wamekutana Zanzibar kwa ajili ya kuponda Raha katika hoteli moja kubwa lakini ushahidi wa moja kwa moja haukupatikana zaidi ya kuonekana wanarushia picha wakiwa location moja

Lakini Sasa wameanza kuchombezana tena kuhusu kwenda Zanzibar tena:

 Na Hivyo ndivyo walivyokua wanachombezana Kuhusu kukutana Zanzibar

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini