Maskini..Nyota wa Filamu Idris Elba Apatikana na Virusi vya Corona | ZamotoHabari.

Muigizaji maarufu wa fialamu na msanii wa muziki  muingereza  Idrissa Akuna Elba al maarufu  Idris Elba  ndiye mtu wa hivi punde maarufu kupatikana   na virusi vya corona .

Coronavirus:Kisa kingine charipotiwa Kericho na mwanamme kutengwa
Katika video aliyoweka mtandaoni ,akiwa pamoja na mkewe Sabrina Dhowre,  Elba amesema alipimwa na kupatikana na virusi hivyo. Hata hivyo amewatuliza mashabiki  wake akisema hana  daalili za ugonjwa huo na alijitenga alipogundua  kwamba kuna  uwezakano alitangamana na watu

 Aliandika;

‘Nataka mimba!’ Mwanadada asema katika twitter akihofia ‘kufa’ kwa ajili ya Coronavirus
Idris Elba  aliendelea kueleza umuhimu watu kunawa mikono  na kuepuka mikutano ya hadhara huku ulimwengu ukiendelea kupambana na mkurupuko wa virusi hivyo .zaidi ya mataifa 30 ya afrika yameripoti visa vya ugonjwa huo  huku kenya  ikisajili visa takriban vinne hadi kufikia sasa

Photo Credits: Radio Jambo

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini