Meneja wa Diamond, Sallam SK Afunguka Kwa Mara ya PILI Akiwa Katika Matibabu ya Corona | ZamotoHabari.


Sallam SK ameandika haya kupitia Ukurasa wake wa Instagram:

Alhamdullilah naendelea vizuri zimebakia siku chache kuweza kuchukua vipimo tena kuona kama nipo negative au positive. Nashukuru kwa dua zenu wote asanteni sana. Na pia niwashukru madaktari wote waliopo bega kwa bega na sisi tuliopo kwenye kituo. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
19h

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini