Mwanamuziki Stamani Ajipanga Kuoa TENA Baada ya Ndoa yake ya Kwanza Kwenda na Maji | ZamotoHabari.


Stamina amesema baada ya ndoa yake ya mwanzo kumomonyokeana kwasasa yupo mbioni kuoa tena sababu ni mwanaume aliyekamilika

Ndoa ya kwanza ya Rapper huyo iliingia kidudu mtu na kuvunjika kutokana na visa vya usaliti vilivyotokea kati yao huku akihusishwa aliyekuwa mchezaji wa Simba.....

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini