Pagala la vyumba 3 na kiwanja cha sqm 416 (mita 16/26) linauzwa kwa bei ya kutupwa. Huduma za umeme na maji zipo na lipo mtaa wa maana. Lipo umbali wa km 2 kutoka main road.
Wiki iliyopita bei ilikuwa milion 11, sasa imeshuka mpaka milion 9.5
Mhitaji awahi kulipia, alipaue na kuhamia.
Kwa taarifa zaidi call 0758603077
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments