OFISI YA KATIBU TAWALA MKOA WA SHINYANGA YAPOKEA KOMPYUTA MPAKATO | ZamotoHabari.

Katibu Tawala Msaidizi - Utawala na Rasilimaliwatu, James G. Bwana (Mwenye Shati Jeupe la Kitenge),  akimkabidhi, Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Chamatata B.A,   Kompyuta Mpakato ya kisasa na 'Work Station' yake ili iwe mali ya Ofisi (RS Shinyanga), makabidhiano yaliyofanyika jana Machi 18, 2020 ofisini hapo. Kompyuta Mpakato hiyo itatumiwa na Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu na Ofisi kwa ujumla. Bwana alikabidhiwa Kompyuta hiyo na Katibu Mkuu Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro, baada ya kukabidhi Komputa na Printa za kisasa zenye thamani ya Tshs. 45,919,500/= alizokabidhiwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Wengine pichani ni Afisa Tawala Mkuu, Bi. Beatrice Matemu (kushoto)  na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi, Gervas Lugodisha (kulia). 



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini