Polepole: Nilienda Kumtoa Mashinji na Msigwa Nilikuwa Mwenyewe Sasa Ninyi Mmekuja Mpaka na Madaladala Haiwezekani | ZamotoHabari.



Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amesema alipokwenda kumfuata Vincent Mashinji aliingia peke yake sasa Chadema walikwenda hadi na daladala haiwezekani.

“Nilipokwenda kumtoa Mashinji niliingia peke yangu, nilipokwenda kumtoa Mchungaji Msigwa kwa niaba ya Mkwewe niliingia peke yangu,” aliandika Polepole katika ukurasa wake wa Twitter
“Sasa ninyi mlikwenda mpaka na madaladala mwe mwe mwe wanyambala haiwezekani,” aliandika Polepole.

Alisema kila sehemu kina utaratibu wake ukiuvunja unaweza kuleta madhara kubwa


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini