Rais Kenyatta Apunguza Mshahara Wake ili Kupambana na Corona | ZamotoHabari.



Rais Kenyatta ametangaza kupunguza mshahara wake na wa Makamu wa Rais kwa 80%, huku Mawaziri wake na Makatibu wa kudumu wakipunguza kwa 30% . “nawaomba na Watumishi wengine waungane na sisi kupunguza kwa hiyari mishahara yao ili fedha zitumike kupambana na corona”

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini