Tanzania yatupwa nje mbio za fainali za kombe la dunia wanawake U-17 | ZamotoHabari.




Timu ya Taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 jana imefungwa mabao 5-0 na wenyeji, Uganda kwenye mchezo wa marudiano kufuzu Fainali za Kombe la Dunia Uwanja wa Lugogo Jijini Kampala hivyo kutolewa kwa jumla ya mabao 6-2 kufuatia kushinda 2-1 kwenye mechi ya kwanza Machi 1 nyumbani, Dar es Salaam.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini