VIDEO: Polisi Yawakamata Waandishi wa Habari Kisa Kumfuatili Mgonjwa wa Corona | ZamotoHabari.



Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limekiri kuwakamata Waandishi wa habari watatu waliokwenda katika eneo la hoteli ambayo alilala mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa wa Corona Virus.

Baada ya kuachiwa miongoni mwa Mwandishi aliyekuwa eneo hilo amekiri ni kweli alifuatwa na magari mawili ya Polisi nakuambiwa hana kibali cha kufanya hivyo.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini