Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa mara kwanza kuzungumzia mahusiano yake na mapenzi wa muigizaji Wolper baada ya hivi karibu wawili hao kujionyesha kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa Instagram. Msodoki amedai anapenda mwanamke mpambanaji na mwenye pesa huku akidai suala la umri kwake sio inshu kubwa kwa kuwa wanapendana.
VIDEO:
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments