EXCLUSIVE: SHAMSA FORD Afunguka "Nimemblock CHID, Hatuwezi Kurudiana, Aliniliza vya Kutosha Siwezi" | ZamotoHabari.

EXCLUSIVE: SHAMSA FORD Afunguka "Nimemblock CHID, Hatuwezi Kurudiana, Aliniliza vya Kutosha Siwezi"

EXCLUSIVE: SHAMSA FORD afunguka "Nimemblock CHID, Hatuwezi kurudiana, Aliniliza vya kutosha siwezi, Ile Post mimi nilitumiwa na watu, nilimuonea huruma baada ya kuona ile post, na nina mpongeza kwa kufunguka na ni fundisho kwa vijana wengine wasipenda kutunza familia, mimi na yeye hatuwezi kurudiana nilipokuwa kwenye ndoa nilimpigania sana lakini ilishindikana kwa mimi haiwezi kutokea tena"

Bonyeza Play kusikiliza zaidi:



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini