Habari Njema..Marekani Yaanza Majaribio ya Dawa ya CORONA Kwa Kutumia Chloroquine | ZamotoHabari.

Marekani imeanzisha kliniki ya majaribio ya kimatibabu ya dawa inayotumiwa kutibu Malaria ya Chloroquine kutibu ugonjwa wa virusi vya Corona.
Jaribio hilo linalenga wagonjwa 500 waliolazwa hospitalini. Taifa hilo limeripoti visa vya Corona 465,329 na vifo 16,697.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini