Nicole Amchana Sarah Baada ya Kumuibia Harmonize "N𝘂𝗺𝗯𝗲𝗿 𝟭 You CAN’T buy a Man’s Love" | ZamotoHabari.

Mrembo Nicolejoyberry Mwenye shape ya kuvunja chaga amemrushia Sarah amke wa Mwanamuziki Harmonize Kijembe cha nguvu kwa kuandika kupitia instagram yake:
"N𝘂𝗺𝗯𝗲𝗿 𝟭 you CAN’T buy a man’s Love, 𝗻𝘂𝗺𝗯𝗲𝗿 𝟮 Be Your Man’s Peace, otherwise He will Go & Find 𝗽𝗲𝗮𝗰𝗲 somewhere Else!!!!! and please refer to “ Proverbs 14:1 ““am still enjoying Bedroom song lyrics in my bedroom" Nicole

Hii imekuja baada ya tetesi kuwa kwa sasa wapo pamoja kimapenzi baada ya kufanya video ya Bedroom ya Harmonize

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini