RC Gambo Ahamishia Ofisi yake Sokoni, Waziri Ummy Amkumbusha Tahadhari ya Corona | ZamotoHabari.


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ametangaza kuihamishia ofisi yake katika soko la Samunge amabalo liliteketezwa kwa moto siku bkadhaa zilizopita.
“Kuanzia leo nimehamishia ofisi ya Mkuu wa Mkoa Sokoni kuliko ungua Moto Samunge. Hapa Pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Mzee Masawe tukipokea maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Mzee Zelothe! Uongozi ni Utumishi!”
Hata hivyo baada ya posti hiyo Waziri wa afya Ummy Mwalimu alkomenti akimtaka kuzingatia tahadhari ya corona akisema “Umbali wa Mita moja sijauona hapo!” hata hivyo Gambo hakujibu Komenti hiyo.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini