Rihanna na Jay z wachangia Bilioni 4 kwa wahanga wa Corona Virus | ZamotoHabari.



Ni Headlines za wakali kutokea Marekani Jay-Z na Rihanna ambapo wameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kila mmoja kuchangia kiasi cha Bilioni 2 za kitanzania kupitia taasisi zao; Shawn Carter Foundation na Clara Lionel.

Fedha jumla ya Bilioni 4 ambazo zitasaidia na kuwagusa madaktari, jamii na watu wasio na makazi kupata chakula vya  kupambana na ugonjwa wa Corona.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini