Sarah Hataki Utani Kabisa Ampiga Block Harmonize Baada ya Tetesi za Kumfumania na Nicole | ZamotoHabari.


Baada ya Video Kusambaa Sarah akiwa nyumbani kwa Nicole akigonga geti afunguliwe huku akidai Nicole amuachie mume wake Harmonize, Inasemekana Sarah kampiga Block ya nguvu harmonize kwenye mtandao wa Instagram kama inavyoonesha hapo chini kwenye picha

PICHA: Baada Ya Sarah Kumblock Harmonize Kisa Tetesi Za Kubanjuka Na Video Vixen Nicole, Umepewa Sasa Hivi Nafasi Ya Kuonana Na KondeBoy Ungependa Kumshauri Nini?




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini