Vita Nzito Harmonize na Rayvanny Kwenye Mziki wa Singeli....Wote Wafikisha 1Mil Viewers | ZamotoHabari.

Wanamuziki Harmonize na Rayvanny wameingia katika mtifuano kwa kugombania nani ana watazamaji wengi kwenye nyimbo zao walizoimba kwa mahadhi ya kisingeli...

Alianza Harmonize kufikisha Viewers Milion Moja kwenye Video ya Hujanikomoa ndani ya wiki moja, Sasa Ravyvanny nae kapost anaonesha amefikisha 1 Milion Viewers Ndani ya Siku Tatu kwenye wimbo wake alioimba na Dulla Makabila unitwa Miss Buzza



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini