Wagonjwa wa corona wafikia 48 Uganda | ZamotoHabari.


Wizara ya Afya Uganda imesema visa vya corona vimeongezeka na kufikia 48 nchini humo hii ni baada ya wagonjwa wengine watatu kuongezeka.

“Wagonjwa wapya wawili wametokea Dubai, walikuwa karantini na mwingine ametokea USA, tumewapima Watu 2204 hadi sasa na 48 ndio wameambukizwa”

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini