Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile, tayari amekabidhi rasmi ofisi kwa Naibu Waziri mpya wa Afya Dkt. Mollel. “nampongeza Dkt Mollel kwa kuteuliwa na namshukuru sana Waziri Ummy kwa ushirikiano alionipa, namshukuru JPM kwa imani yake kwangu”
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments