Ripoti kutoka kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam usiku huu ni kwamba Baa mbalimbali zimefunguliwa ikiwemo ya Liquid Kurasini.
Hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar ea salaam Paul Makonda @baba_keagan kutangaza waliokimbia corona warudi Dar kuendelea na shughuli za uchumi huku akiitaja Jumapili ya leo kuwa ndio siku rasmi ya kurudi kwenye viota vilivyokua vimefungwa, siku ya kuliamsha tena japo kwa tahadhari
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments