Hamisa Mobetto Akazia Msimamo Wake..."Siwezi Kuwa na Diamond Platnumz Tena" | ZamotoHabari.

Huku kukiwa na mashabiki wengi wa Hamissa Mobetto na Diamond Platnumz wakitamani warudiane, Hamissa amekumbushia tena kauli yake ya kutorudiana na Diamond Platnumz ambae ni baba wa mtoto wake





APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini