Tazama Picha za Familia Iliyogeuza Makaburi Kuwa Nyumba yao ya Kuishi | ZamotoHabari.

Jamii moja nchini Philipines inaishi makaburini, ambapo wamegeuza makaburi hayo kama nyumba zao. Yaani unaambiwa kama unavyoishi wewe nyumbani kwenu ndio wanavyoishi wao, isipokuwa wao makazi yao yapo makaburini, na shughuli za mazishi huendelea kama kawaida.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini