Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha Ajitosa Kugombea Urais Zanzibar | ZamotoHabari.


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha, amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba.

Jecha anakuwa mwanachama wa kumi na nne (14) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini