BENKI YA NMB YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT DODOMA,YAMPONGEZA MEJA JENERALI MBUGE | ZamotoHabari.

 Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (aliyenyoosha mkono) akimwelezea jambo Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge ( wapili kushoto) wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wa kwanza kushoto) akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge (katikati) kwa kupandishwa cheo kuwa Mkuu wa JKT, wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia ni Meneja Mahusiano na Serikali wa Benki ya NMB, Josephine Kulwa na Meneja wa Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (wapili kulia).


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini