Breaking News: Rais Magufuli atangaza kufunguliwa shule zote june 29 | ZamotoHabari.




Rais Magufuli ametangaza shule zote zilizofungwa pamoja na shughuli zote zilizositishwa kufanyika kutokana na corona ikiwemo kufunga ndoa na shughuli zingine kufumguliwa. 

“Kutokana na mwendendo wa corona kuendelea kuwa mzuri, corona imepungua sana, naomba nitangaze kuanzia June 29 mwaka huu nafikiri itakuwa Jumatatu, shule zote zilizokuwa zimebaki zifunguliwe, lakini Watanzania waendelee kuchukua tahadhari”-JPM



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini