Hatimaye game imemalizika katika Uwanja wa Jamhuri, Makao makuu ya Nchi, Dodoma. Hakuna mbabe.
Kadi mbili nyekundu zatolewa kwa Lamine Moro wa Yanga na Mwinyi Kazimoto wa JKT.
FT: JKT Tanzania 1-1 Yanga SC.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments