Mtangazaji wa Michezo Geoffrey Lea Aikimbia Clouds FM Atimkia Alipokimbilia B Dozen | ZamotoHabari.


Radio EFM Kupitia page yao wameandika haya hapa chini wakimaanisha wameshamchukua mtangazaji nguli wa michezo kutoka Clouds FM

#LeaYukoSawa : Bila shaka mko sawa kama Geoffrey Lea (@geoff_lea)
.
Lea yuko sawa sana kwa sababu ni kati ya Sports Personalities walioko vizuri kwenye kila mchezo. Anajua mpira wa miguu, wa kikapu, ngumi, tennis na mingine yote. Katika usawa huo, anastahili namba kwenye redio namba 1 kwenye michezo #Tanzania.
Mkuu wa Idara ya michezo hapa @efmtanzania na @tvetanzania, Kiungo mkongwe @maestro_ibrahim amemkabidhi jezi : #LeaYukoSawa #HuuMchezoHauhitajiHasira


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini