Wafikishwa Mahakamani Kwa Kujificha Juu ya Dari la Nyumba na Kumrekodi Mwanaume Video Akishiriki Ngono | ZamotoHabari.


Mwanamke mmoja na mpwa wake wamefikishwa Mahakamani nchini Uganda wakituhumiwa kuingia nyumbani kwa Mwanaume na kujificha juu ya dari kisha kumrekodi video wakati akijamiiana na baadaye wakamtaka alipe Mil 1.5 ya Uganda (zaidi ya Tsh.Laki 9), ili wasivujishe video hiyo.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini