Aunti Ezekiel Ashikwa na Kigugumizi Kumtaja Aliempa Ujauzito....Kusah Au Moses Iyobo? | ZamotoHabari.



Star wa Bongomovie AuntiEzekiel Amekataa Kabisa Kuelezea Ukweli Kuhusu Suala la Mimba Yake Huku Shauku Kubwa Zikiwajaa Watu Wa Mitandaoni Wakisema Uwenda Mimba Ikawa Kusah aliyekuwa mpenzi wa Ruby kwani kuna ukaribu ulionekana kati yao huku tetesi za mtaa zikisema niwapenzi, lakini pia Moses Iyobo ambae ni mzazi mwenzake anahusishwa na Ujauzito huo


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini