Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Mh. Paul Makonda , amechukua Rasmi Fomu ya maombi ya kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi CCM katika nafasi ya Ubunge wa Jimbo La Kigamboni, kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka Huu.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments