CHADEMA Yamjibu Nassari “Alijua Kabisa Hatutampitisha Arumeru Akajiongeza” | ZamotoHabari.



Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkupitia kwa Katibu wa chama hicho mkoa wa Arusha Reginald Massawe kimemjibu aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema Joshua Nassari nakusema alijua hataruhusiwi tena kugombea ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki baada yakushindwa kutekeleza yale aliyoambiwa na chama


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini