"Mzee Benjamin William Mkapa alikuwa kiongozi mwenye uzalendo wa hali ya juu kwa nchi yetu na Afrika."
Alikuwa mwenye ndoto na maono makubwa ya Afrika kutumia utajiri wa rasilimali ilizonazo na idadi kubwa ya watu kujitegemea kiuchumi."
Alihimiza umoja, amani na mshikamano kama msingi muhimu kwa maendeleo. "
"Hakika tumempoteza kiongozi mahiri ambaye ushauri wake na uzoefu wake bado vilihitajika. "
"Natoa pole kwa Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli, familia yake na watanzania wote kwa msiba huu. Tunauombea apumzike kwa amani."
Dkt Charles Stephen Kimei
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments