Hatimaye Serikali Yasikia Kilio cha Harmonize Kuhusu Tuzo | ZamotoHabari.




Serikali imesema imeisikia kauli ya Harmonize kuhusu umuhimu wa Tanzania kuwa na Tuzo za Muziki na tayari imeshaanza mchakato wa kuanzisha Tuzo hizo

"Sio za Wasanii pekee tutaandaa zote zinazohusu habari, utamaduni na michezo"

"Harmonize asiwe na wasiwasi tumeshaanza hatua za mwanzo za maandalizi, tutakwenda kwao kupata mapendekezo" - Dkt Emmanuel Ishengoma, Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini