Hatimaye..Mwimbaji Kanye WEST Atangaza Kugombea Urais wa Marekani | ZamotoHabari.

Msanii wa Marekani Kanye West ametangaza rasmi nia yake ya kwamba anagombea Urais wa Marekani kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Kanye amesema ahadi na ndoto za Wamerekani zitatimizwa kwa kumuamini Mungu, kuunganisha malengo yao pamoja na kuijenga kesho iliyo bora.




APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini