Huddah Akodi Hoteli Dubai Hadi Desemba | ZamotoHabari.


SOSHOLAITI mwenye jina kubwa Afrika Mashabiki, Huddah Monroe amekanusha kufilisika kwa kutamba kwamba kwa sasa yupo Dubai ambapo amekodisha hoteli ya kifahari hadi mwezi Desemba.

Huddah aliposti picha yake ya zamani na kuandika; “Throw back thursday! Way back when she was a bad girl. Now a bad gal gone badder!”

Mmoja wa wafuasi wake waliibuka na kumwambia kuwa amefilisika huko Dubai hivyo ni bora arudi nyumbani Kenya ndipo akatoboa siri;

“Nipo huku (Dubai) hotelini mpaka Desemba, pambana na hali yako…”

Huddah amekuwa akiishi Dubai tangu kulipuka kwa janga la Corona mwezi Machi, mwaka huu.

STORI: NAIROBI, KENYA

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini