Tunatumai wewe sio mgeni wa zile fununu kwamba Weusi walizinguana na mwimbaji pia mtayarishaji Nahreel na ndio maana wakakata mguu kwenda kurekodi kwenye studio zake.
Kwenye XXL Clouds FM, Weusi wamesema hawakuwahi kuwa na tofauti yoyote na nahreel, moja kati ya watayarishaji ambao wametengeneza kazi nyingi. Hii imekuja baada ya Joh Makini leo kuachia mkwaju wake #Dangerous akimpa shavu la nguvu Nahreel
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments