Na Dixon Busagaga,Moshi
"Hii NI CV Bora kabisa miongoni mwa wote waliochukua fomu kuwania nafasi za ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi " haya ni maneno ya Kada wa Chama Cha Mapinduzi Honest Malle wakati akirejesha fomu za kuwania Ubunge katika jimbo la Vunjo ndani ya Chama Cha Mapinduzi.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA



0 Comments