Mrema "Msajili Huoni Huu Ukiukwaji wa Sheria kwa Vyama? | ZamotoHabari.


Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema kuna ukiukwaji wa sheria kwenye vyama vya siasa.

Amesema watumishi wa umma wanalazimishwa kushiriki siasa na kuvaa nguo za vyama.

“Chukua hatua ya kukemea ili ulinde heshima ya ofisi yako,” mrema

Mrema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter “Msajili wa vyama huoni Hui ukiukwaji wa sheria ya vyama vya siasa? Watumishi w umma wanalazimishwa kushiriki siasa na kuvaa nguo za vyama …. Chukua hatua ya kukemea ili ulinde heshima ya ofisi yako,”.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini