Mrembo Poshy Qeen Mwenye Umbo la Mvuto Kachumbiwa na Mwanaume Huyu Huko Kwako Mbeya | ZamotoHabari.



Ni Mrembo aliejibebea umaarufu kupitia mtandao wa instagram, Poshy Queen  time hii anaandika vichwa vya habari baada ya kuvalishwa Pete ya Uchumba na mpenzi wake mwenye uraia wa Nigeria aitwae John.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini