Rais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali. | ZamotoHabari.


Rais Magufuli amemteua Gabriel Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Julius Mashamba.


Kabla ya uteuzi Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali.

Aidha, Rais Magufuli amemteua  Boniface Luhende kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Malata.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini